
Choo kigumu baada ya kujifungua, suluhisho lake
Dar es Salaam. Changamoto zinazoweza kutokea baada ya mama kujifungua, ni tatizo la kupata choo kigumu. Tatizo hili linaweza kuathiri hali ya faraja na afya yake lakini pia hali ya mtoto. Aidha, hali hii ya kupata choo kigumu inaweza kuathiri afya ya akili ya mama baada ya kujifungua lakini pia kuongeza maumivu kwa wale waliojifungua…