
Ni Mbowe au Lissu 2025 urais Chadema
Dar es Salaam. Joto la uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limeanza kufukuta, huku likiibuka swali la nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu atapitishwa kuipeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi hiyo. Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, ameshaonyesha kusudio la kuwania wadhifa…