Hati za kimila mwarobaini migogoro ya ardhi Kigoma
Kigoma. Hati miliki za kimila 500 zimetolewa kwa wananchi wa vijiji vya Kigalye na Mwamgongo, vilivyopo Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, hatuaΒ iliyotajwa itapunguza migogoro ya ardhi hasa ya ngazi za familia. Wakizungumza leo Jumapili Agosti 18, 2024 katika Kijiji cha Mwamgongo baada ya kupokea hati hizo zilizotolewa na Serikali kwa kushirikiana na Shirika la…