ONGEA NA AUNT BETTIE: Mdogo wangu anamsalandia mke wangu
Habari Aunt, naomba ushauri, mdogo wangu anaonekana wazi kumtaka shemeji yake (mke wangu). Nimesema hivyo kwa sababu naona utani usiokuwa na mipaka umezidi. Nashindwa kumkanya kwa sababu ni mdogo kwangu kiumri. Nifanyeje? …..Unanishangaza, unashindwa kumkanya mdogo wako utamkanya nani tena! Kwanza kabisa unapo pa kuanzia, anza kumkanya mkeo asikubali utani uliopitiliza na shemeji yake, kwa…