Kocha Fadlu achimba Mkwara… “Mtaona shoo”
WAKATI pambano la Namungo na Fountain Gate likiahirishwa jana Jumamosi kwa sababu za ishu za usajili, kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge jijini Dar es Salaam, Mnyama Simba itashuka uwanjani kuanza msako wa taji la 23 la Ligi Kuu Bara kwa kuikaribisha Tabora United inayocheza msimu wa pili sasa. Mechi hiyo itakayopigwa kuanzia saa 10:15…