Rais Samia ashika usukani asasi ya ulinzi, usalama SADC
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Asasi ya Ushirikiano katika masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Anachukua nafasi kutoka kwa Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema aliyemaliza muda wake. Asasi hiyo ni chombo ndani ya SADC kinacholenga kuimarisha ushirikiano kati ya nchi wanachama…