Ngushi afungua kitabu cha mabao Ligi Kuu Bara

MSHAMBULIAJI wa Mashujaa FC ya Kigoma, Crispin Ngushi amekuwa mchezaji wa kwanza kwa msimu huu kufunga bao katika mechi za Ligi Kuu Bara 2024-2025 wakati akiitanguliza Mashujaa kwenda mapumziko ikliwa mbele kwa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji. Ngushi ambaye amewahi kutamba na timu za Mbeya Kwanza aliyopanda nao Ligi Kuu misimu mitatu iliyopita, kabla…

Read More

Dube aandika historia mpya CAF

WAKATI Yanga ikienda mapumziko ikiwa mbele kwa bao 1-0 dhidi ya Vital’O ya Burundi, mfungaji wa bao hilo la pekee hadi sasa, mshambuliaji Prince Dube, ameweka historia katika michuano hiyo akiwa nchini. Yanga inacheza dhidi ya Vital’O katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika mchezo uliopigwa kwenye…

Read More

Kituo cha Daladala Machinga Complex chazidiwa, Latra yasitisha kutoa vibali

Dar es Salaam. Kituo cha daladala katika Soko la Machinga Complex kilichopo, Wilaya ya Ilala kimezidiwa na idadi kubwa ya daladala hali iliyosababisha Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini(Latra) kusitisha utoaji vibali wa ruti zinazoishia kituoni hapo. Kabla ya soko hilo kuchanganya kibiashara, malalamiko kutoka kwa wafanyabiashara ilikuwa ni daladala kutopita hapo kushusha abiria ambao wangeweza…

Read More

TOTAL FOOTBALL: Nani atatoboa? | Mwanaspoti

MANCHESTER, ENGLAND: KUELEKEA msimu huu wa Ligi Kuu England mmoja kati ya mastaa wanaotarajiwa kufanya makubwa ni straika wa Manchester City, Erling Haaland. Haaland ambaye alijiunga na Man City mwaka 2022, anatarajiwa kuvunja rekodi mbalimbali zinazoendelea kuishi katika ligi hiyo. Moja kati ya rekodi hizo ni ile ya Dixie Dean aliyefunga mabao 60 ya EPL…

Read More

Metacha aitaka tuzo ya Matampi

KIPA wa Singida Black Stars, Metacha Mnata amesema msimu huu anaitaka ile tuzo ya kipa bora wa Ligi Kuu Bara iliyochukuliwa na Ley Matampi wa Coastal Union msimu uliopita. Metacha ameliambia Mwanaspoti kwamba, msimu huu anataka kuwa na clean sheet nyingi zitakazomfanya aibuke kinara miongoni mwa wa makipa wa ligi hiyo. “Msimu huu natamani kuandika…

Read More

Kampuni ya siri nyuma ya mgogoro wa P-Square

NI miaka mingi sasa wanamuziki pacha Peter na Paul Okoye wanaounda kundi la P-Square kutoka Nigeria hawana maelewano na hivyo kila mmoja kushika njia yake kimuziki na kifamilia, lakini hiyo haijawa mwarobaini wa tofauti zao. Kampuni ya siri ndiyo ipo nyuma ya mgogoro wao ambao umeshuhudiwa hivi karibani katika mitandao ya kijamii ikiwa ni matokeo…

Read More

Mabaharia Zanzibar kuingia soko la kimataifa

Unguja. Kilio cha mabaharia wa Zanzibar kukosa sifa za kutambulika kimataifa huenda kikapata ufumbuzi baada ya kuanza kupatiwa mafunzo maalumu yatakayokidhi viwango vya kimataifa. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi kutia saini makubaliano ya ushirikiano na Kampuni ya Heroes kutoka Uholanzi, ambao utashirikisha Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar…

Read More

Namungo, Fountain Gate wapigwa kalenda

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuahirisha mchezo wa ligi baina ya Namungo FC na Fountain Gate FC uliokuwa uchezwe leo katika Uwanja wa Majaliwa Lindi. Taarifa iliyotolewa na TPLB leo, imesema kuwa tarehe mpya ya kuchezwa mechi hiyo itapangwa. “Mchezo kati ya @namungofc na @fountaingate_fc umeahirishwa na utapangiwa tarehe nyingine,” iliandika TPLB katika…

Read More