Kazi imeanza Kizimkazi Festival | Mwanaspoti

NI michezo, burudani, uchumi na fursa mbalimbali za kijamii katika tamasha la nne la Kizimkazi linalofunguliwa leo Jumapili na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi huko Kizimkazi mkoa wa Kusini Unguja. Tamasha hilo linatajwa kufungua fursa mbalimbali za kijamii, kimichezo na kiuchumi. Katibu wa Kamati Kuu ya tamasha hilo lenye kauli…

Read More

Mahakama yaridhia wananchi kumpinga Waziri wa Madini

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Musoma imeridhia maombi ya baadhi ya wananchi wanaoishi vijiji vinavyozunguka mgodi wa North Mara, kufungua shauri kupinga Kanuni za Wajibu wa Wamiliki wa Leseni za Madini kwa Jamii za mwaka 2023. Uamuzi huo umetolewa na Jaji Marline Komba kutokana na shauri la maombi lililofunguliwa na wananchi hao, Godfrey…

Read More

Uhamiaji, JKU zaahidiwa noti mechi za CAF

Mwenyekiti wa Kamati ya Mipango na Fedha ZFF,  Awadh Maulid Mwita ameahidi kutoa donge nono kwa timu za Uhamiaji na JKU ambazo ni wawakilishi wa Zanzibar katika mechi za kimataifa. Awadh amesema timu hizo mbili iwapo zitapata ushindi katika mchezo wa kwanza basi kila moja itapewa Sh 1 Milioni na zikitapata sare basi ataipatia Sh…

Read More

Kisikie kilio cha wenye matatizo ya macho Tanga

Muheza. Wazee mkoani Tanga wameiomba Serikali kuendelea kuboresha huduma za afya hasa utoaji tiba kwa wenye matatizo ya macho, kwa kuwa ni miongoni mwa changamoto kubwa kwao. Wazee hao wamesema kliniki za macho zinazofanyika kwenye jamii mara kwa mara zinaweza kusaidia wananchi kupata huduma haraka na kwa muda mfupi. Wakizungumza kwenye ufunguzi wa Mama Samia…

Read More

Simba SC kama Reggae Boys

NOBODY can stop reggae! Hii ni ngoma matata iliyowahi kupigwa na kuimbwa na Lucky Dube. Gwiji huyo wa miondoko ya Reggae, kwa sasa ametangulia mbele ya haki, lakini ngoma yake inaendelea kutamba. Si unajua Reggae haipigwi na wanyoa viduku. Miondoko hii inapigwa na kuimbwa na watu wenye rasta. Sasa unaambiwa pale Msimbazi, kuna kikosi cha…

Read More

Bucha zafungwa kwa uchafu, kukosa usajili

Unguja. Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) umefunga bucha nne majini hapa kwa kukiuka taratibu za biashara. Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Bidhaa za Mifugo, Dk Thamra Khamis Talib, amesema leo, Agosti 17, 2024, kuwa bucha hizo zimefungwa baada ya ukaguzi katika Mkoa wa Mjini Magharibi kubaini baadhi zinafanya biashara bila kusajiliwa. Amesema…

Read More

TAMASHA LA KIZIMKAZI LAZIDI KUNOGA,SIMBA WAKABIDHI JEZI 100

Na Said Mwishehe, Michuzi TV- Makunduchi KLABU ya Simba ya jijini Dar es Salaam imekabidhi jezi 100 kwa mashabiki wa Simba walioko Kizimkazi katika Wilaya ya Kusini visiwani Zanzibar.Jezi hizo zimekabidhiwa leo Agosti 17,2024 kwa Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwanamke Initiatives Foundation Wanu Hafidh Ameir ambaye atakabidhi jezi hizo kwa…

Read More