Chadema yateua makatibu kanda nne

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefanya uteuzi wa makatibu  wa kanda nne wa chama hicho. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi 17 Agosti,2024 na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema,  imezitaja kanda hizo kuwa ni  Magharibi, Serengeti, Victoria na Nyassa. Mrema amesema uteuzi wa makatibu hao umethibitishwa na Kamati…

Read More

Jiongeze: Kamwe na ufalme wa Jangwani

Kwa sasa inajulikana yupi ni yupi pale Jangwani. Nenda kwenye kurasa zao mitandaoni, tazama ‘intaraksheni’ ya mashabiki wa timu yao. Kuna namna Kamwe anacheza na akili za mashabiki. Mitaani mpaka mitandaoni anaishi kama sehemu yao. Anaweka picha kamili ya shabiki wa Yanga anayefanya kazi pale Yanga. Akiposti jambo la Yanga, hupata muamko mkubwa na hata…

Read More

Wanafunzi 20 wa chuo kikuu watekwa

  ZAIDI ya wanafunzi 20 wa Chuo Kikuu cha Nigeria wametekwa na watu wenye silaha waliovizia magari yao kaskazini mwa nchi hiyo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Msemaji wa jeshi la polisi katika eneo la Benue, Catherine Anene amesema jana Ijumaa wanafunzi hao walikuwa wakielekea kusini mwa nchi kushiriki mkutano wa wanafunzi wanaosomea udaktari…

Read More

MTU WA MPIRA: Azam FC wana deni kubwa kimataifa

PAZIA la michuano ya kimataifa inayoendeshwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ngazi ya klabu limefunguliwa rasmi wikiendi hii. Klabu mbalimbali Afrika sasa zinapambana kuweka heshima kuanzia juzi Ijumaa na jana zilipigwa mechi nyingine kabla ya leo Jumapili kupigwa michezo mingine. Kwa Tanzania timu za Yanga, Azam FC, Simba na Coastal Union zinawakilisha nchi. Simba…

Read More

Mzee wa Masaptasapta ashinda kesi, Azam kumlipa mil. 100

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru Azam Media Group kumlipa kiasi cha Sh. 100 milioni mpishi maarufu nchini Master Chef Fred Uisso maarufu kama ‘Mzee wa Maspatasapta’ baada ya kushinda kesi dhidi yake na wenzake watatu baada ya Azam kumtangaza mpishi huyo kupitia channel yake ya Sinema Zetu katika kipindi kinachorushwa na Azam TV…

Read More