Huu ndio umuhimu, faida za kuchagua viongozi wa mitaa
Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, juzi alizindua kanuni za uchaguzi wa Serikali za mitaa na kutangaza siku ya kupiga kura. Katika uzinduzi huo, aliwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi huo kwa kuchagua viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji. Waziri Mchengerwa alisisitiza…