
FAMILIA YA MCHEZAJI ALIYEFARIKI URUGUAY KULIPWA MSHAHARA HADI MWAKA 2032 – MWANAHARAKATI MZALENDO
Rais wa klabu ya Nacional ya Uruguay, Alejandro Gaston Balbi Della Valle ametangaza kuwa familia ya mchezaji Juan Izquierdo ambaye amefariki siku kadhaa zilizopita, itapokea mshahara wa mchezaji huyo hadi mkataba wake utakapokamilika mwaka 2032. Nacional itaendelea kulipa stahiki zote alizokuwa anatakiwa apewe mchezaji kama muajiriwa wa klabu hiyo,…