ZAMBIA YAIHAKIKISHIA TANZANIA USHIRIKIANO KATIKA UONGOZI WA SADC ORGAN TROIKA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Rais wa Jamhuri ya Zambia, Hakainde Hichilema ameihakikishia ushirikiano Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati huu inapotarajia kukabidhiwa jukumu la uenyekiti wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (SADC Organ on Politics, Defence and Security), nakuhaidi kutimiza majukumu yake kama Mwenyekiti anayemaliza muda wake kwa kipindi cha 2023/2024. Kadhalika, ameshukuru kwa…