MHE. RIDHIWANI: MIKAKATI YA MALEZI BORA KWA WATOTO NDIO USTAWI WA VIJANA WA BAADAE
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali imeweka mipango na mikakati ya kuhakikisha watoto wanapata malezi bora yanayolenga kukuza ustawi wao. Mhe. Ridhiwani amebainisha hayo leo Agosti 16, 2024 wakati wa makabidhiano ya vyerehani vya mafunzo ya vitendo kwa ajili ya watoto wanaolelewa…