47 CCM wautaka ubunge wa Afrika Mashariki
Dar es Salaam. Wagombea 47 kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) wamejitokeza kuwania nafasi moja ya ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki. Uchaguzi huo unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge wa Bunge hilo katika kundi la wanawake kupitia CCM, Dk. Shongo Sedoyeka, kilichotokea Juni 13, 2024. Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatakiwa kufanya uchaguzi…