Messi alamba Bilioni, Mazembe yakwaa kisiki mahakamani
Dar es Salaam. Mahakama Kuu imelikataa ombi la timu ya Tout Puissant Mazembe Englebert Sarl (TP Mazembe) ya Democratic Republic of Congo (DRC) ya kutaka itoe amri ya kuzuia zaidi ya Sh1.5 bilioni za mchezaji wa kimataifa wa Tanzania. Uamuzi huo ulitolewa Agosti 16,2024 na Jaji Arnold Kirekiano, alisema kutolewa kwa amri ya kuzuia fedha…