Simba, Yanga kuoga manoti CAF
Dar es Salaam. Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) limetangaza kutoa kiasi cha Dola 50,000 kwa kila timu inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika kuanzia msimu huu. Uamuzi huo unalenga kuzisaidia timu ziweze kumudu mechi za raundi mbili za awali za mashindano hayo kabla ya ile ya makundi. Taarifa iliyotolewa…