Wakili Chuwa awasilisha maombi ya clip ya video kuletwa mahakamani

  WAKILI wa Utetezi Edward Chuwa anayewatetea walalamikiwa Bhartat Nathwan na Sangita Bharat wanaotuhumiwa katika kesi ya kujeruhi na kutoa lugha chafu ya matusi, amewasilisha maombii mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya wakati kesi hiyo ilipokuwa ikiendelea kwa hatua ya ushahidi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Chuwa aliomba Kiran Ratilal awasilishe…

Read More

‘First 11’ ya wachezaji wa kike kimataifa

UBORA wa ligi ya wanawake Tanzania (WPL) unaonekana kukua na hilo linathibitishwa kutokana na mastaa kusajiliwa katika ligi kubwa Ulaya. Mfano mzuri ni nyota wa Brighton, Aisha Masaka aliyesajiliwa msimu huu akitokea BK Hacken ya Sweden, Clara Luvanga, Opah Clement na wengineo. Kwa wingi wao na ubora wanaoonyesha kwenye klabu zao, Mwanaspoti limekutengenezea kikosi cha…

Read More

Wanunuzi waitaja TRA chanzo cha utoroshaji wa dhahabu

Geita. Wafanyabiashara wa madini wanaonunua dhahabu katika Soko Kuu la dhahabu Geita wamesema sababu inayochangia utoroshwaji wa madini hayo ni kodi kubwa ya asilimia 9.2 inayotozwa na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) huku nchi jirani zikitoza kodi kiduchu. Akizungumza juzi kwenye kikao baina ya wafanyabiashara na TRA kilichokuwa kikijadili masuala mbalimbali na kusikiliza kero za…

Read More

Dar City, UDSM ngoma ngumu BDL

WAKATI Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) ikizidi kushika kasi katika mzunguko wa pili imeonyesha timu zinazoongoza mashindano hayo, Dar City na UDSM Outsiders zikipata upinzani mkubwa kutoka kwa timu zinazofuatia. Upinzani huo unatokana na timu zote kupambana kutafuta nafasi ya kucheza hatua ya nane bora. Mbali ya timu hizo kutafuta nafasi…

Read More

Mbeya kukomesha biashara ya dawa asili kwenye mabasi

Mbeya. Wakati uuzaji wa dawa za asili ndani ya vyombo vya usafiri wa umma, hususan mabasi, ikishika kasi mkoani Mbeya, Serikali mkoani humo imesema itaongeza nguvu za kudhibiti na kuwachukulia hatua watakaobainika kujihusisha na biashara hiyo. Biashara hiyo imekuwa maarufu mkoani hapa, ambapo wajasiriamali hupanda magari kutangaza biashara zao kwa abiria na wakati mwingine hugeuka…

Read More

Sloti ya Veni Vidi Vici inatajirisha kirahisi

FURAHIA mamilioni ya kutosha ukicheza sloti ya Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma ya Kale! Cheza sloti ya Veni Vidi Vici! Mchezo huu wa Sloti ni maalum kwa wafuasi wa stori za kale haswa ile Roman Empire, Yes ukiucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni utakufanya uwe mshindi. Jisajili Meridianbetkwa michezo mingi ya sloti na kasino….

Read More