ZNZ yazipa sekta binafsi kuendesha spitali zote ,dawa na matibabu bure ZNZ
Kwa miaka mingi huduma za Afya za Zanzibar zikiendelea kua bure kwa vipimo vyote huduma kubwa na ndogo ,Waziri wa afya wa Zanzibar Nassor Mazrui ametangaza Hospitali zote Zanzibar zilizojengwa na Rais mwinyi sasa rasmini zitasimamiwa na sekta binafsi kwenye uwendeshaji ili kua na huduma za kimataifa Mazrui amesema Wizara ya Afya imeingia makubaliano maalum…