TUTUNZE MAZINGIRA ILI KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME WA UHAKIKA
Watanzania wameendelea kusisitizwa kutunza mazingira ili kuhakikisha miradi ya kuzalisha umeme kwa njia ya maporomoko ya maji inakuwa endelevu na kuleta tija iliyokusudiwa. Rai hiyo imetolewa jana Agosti 15 na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi, Meja Jenerali (mstaafu), Jacob Kingu wakati wa ziara ya Bodi hiyo pamoja na Menejimenti ya Wakala…