Aliyehukumiwa kwa kupokea rushwa kumhamisha mwalimu akwaa kisiki
Dar es Salaam. Jitihada za mwenyekiti wa zamani wa Halmashauri ya Mkuranga mkoani Pwani, Juma Abeid kujinasua na adhabu ya kulipa faini ya Sh700, 000 au kifungo cha miaka minne jela, zimekwaa kisiki katika Mahakama ya Rufani Tanzania. Mwaka 2021, Abeid alitiwa hatiani na Mahakama ya Wilaya Mkuranga kwa kosa la kupokea rushwa ya Sh440,…