Gamondi apiga biti mastaa Yanga mapema

IKIWA imesalia siku moja tu, kabla ya Yanga kushuka uwanjani kuvaana na Vital’O ya Burundi katika mechi ya awali ya raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kocha wa kikosi cha wananchi, Miguel Gamondi awachimba biti mastaa wa timu hiyo ili isije ikawakuta aibu mbele ya wapinzani wao hao. Yanga itakuwa ugenini mbele ya…

Read More

Dah! APR yaingiwa ubaridi kwa Azam

KOCHA msaidizi wa APR FC ya Rwanda, Thierry Hitimana amesema, baada ya kuwatazama wapinzani wao Azam FC katika michezo yao ya hivi karibuni kabla ya kukutana nao, amegundua wana timu nzuri ya ushindani hivyo wanaenda kupambana kwa heshima. Kauli ya Thierry, inajiri wakati timu hizo zikijiandaa kushuka uwanjani Jumapili katika mchezo wa awali wa raundi…

Read More

Makonda arejea, akagua uwanja wa ndege Kisongo

  BAADA ya ukimya wa zaidi ya siku 33, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amerejea katika kituo chake cha kazi leo tarehe 16 Agosti na kumaliza minong’ono iliyokuwa imeenea mitaani juu ya alipo kiongozi huyo machachari. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha … (endelea). Makonda ambaye anafuatiliwa na Watanzania wengi kutokana na matendo na utendaji…

Read More

WATANO WASHTAKIWA KUHUSIKA NA KIFO CHA MRAIBU MATTHEW PERRY – MWANAHARAKATI MZALENDO

Katika maendeleo mapya kuhusu kifo cha mwigizaji maarufu Matthew Perry, watu watano wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma zinazohusiana na kifo chake kilichotokea mwaka jana. Polisi wamesema kwamba watuhumiwa hao, ambao ni madaktari wawili na msaidizi wa kibinafsi wa Perry, wanakabiliwa na mashtaka ya kuhusika na mtandao wa uhalifu wa dawa za kulevya uliohusika na kifo cha…

Read More

Ateba awaweka kikaangoni wawili Simba

Klabu ya Simba jana imekamilisha usajili wa Leonel Ateba kutoka USM Alger ya Algeria na saa 4:00 usiku ikamtambulisha rasmi. Wakati Wanasimba wakitamba na ujio wa Ateba, presha imehamia kwa wachezaji wawili ambao mmojawapo ataonyeshwa mlango wa kutokea ili kumpisha Ateba. Wachezaji hao ni mshambuliaji Freddy Koublan ‘Fungafunga’ na kipa Ayoub Lakred. Inaripotiwa kwamba wachezaji…

Read More

Kaka, dada jela miaka 30 kwa kosa la kuoana

Simiyu. Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemuhukumu Mussa Shija (32) kifungo cha miaka 20 jela na dada yake Hollo Shija (35) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kosa la kujamiiana na maharimu (ndugu wa damu). Hukumu hiyo ilitolewa Agosti 14, 2024 na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo,…

Read More

RC akemea Beach boy kunyang’anya wake za watalii ZNZ

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Rc Ayoub Mohammed Mahamoud amekasirishwa na kukemea kwa tabia iliokisiri kwenye fukwa za Bahari za kusini na Zanzibar kwa Baadhi ya Ma Beach Boys kupora wake wa Watalii wanaoingia nchini kwa shughuli za kitalii jambo ambalo limekua likikasirishwa watalii waingia nchini Rc Ayoub ameyasema hayo kwenye semina ya waongoza…

Read More