
Dabo aingiwa ubaridi Azam | Mwanaspoti
KOCHA mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo amesema anajua kila kinachoendelea kwa sasa juu ya hatma yake klabuni hapo, lakini hana hofu na kutemeshwa kibarua kutokana na matokeo mabaya iliyopata timu hiyo hivi karibuni na hasa baada ya kuondoshwa katika hatua ya awali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kauli ya Dabo inajiri baada…