Sababu mjamzito kuhisi baridi kali wakati, baada ya kujifungua
Dodoma. Suala la kupata mtoto ni jambo linalomfurahisha kila mwanamke, lakini ikumbukwe kwamba furaha hiyo hutokana na mapito kadhaa wakati wa ujauzito wake. Lakini cha kufurahisha, mama akishajifungua, basi husahau magumu yote aliyopitia tangu kubeba ujauzito mpaka kufikia hatua ngumu zaidi ya kujifungua mtoto wake. Mwananchi imezungumza na baadhi ya wanawake kutaka kufahamu ni hali…