WMA YAELEZA FURSA ZA UWEKEZAJI KWA SEKTA BINAFSI

Veronica Simba na Paulus Oluochi – WMA Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla ametaja fursa kadhaa za uwekezaji unaoweza kufanywa na sekta binafsi katika tasnia ya vipimo nchini Tanzania. Kihulla ameeleza fursa hizo kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Raphael Maganga aliyetembelea Kituo cha Uhakiki wa…

Read More

ANWANI ZA MAKAZI ZAIDI YA 400,000 KUHAKIKIWA MKOANI ARUSHA

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Zaidi ya Taarifa za Anwani za Makazi 400,000 zinatarajiwa kuhakikiwa katika Halmashauri Sita za Mkoa wa Arusha katika zoezi la Uhakiki wa Anwani za Makazi lililoanza rasmi Agosti 14 mwaka huu. Hayo yamebainishwa leo tarehe 15 Agosti, 2024 na Bw. Mulembwa Munaku, Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano, Wizara…

Read More

Watatu wafariki malori mawili yakigongana, kuteketea Kahama

Mwanza. Watu watatu ambao majina yao hayajatambulika wamefariki dunia papo hapo, huku mmoja akijeruhiwa kwa kukatika miguu katika ajali iliyohusisha malori mawili. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi ajali hiyo imetokea leo Alhamisi Agosti 15,2024 saa 5:30 asubuhi eneo la Manzese mjini Kahama mkoani Shinyanga. Kamanda Magomi amesema ajali hiyo…

Read More

MHE. RIDHIWANI ATOA MATUMANI MAPYA KWA VIJANA NCHINI

*Abainisha mikakati ya serikali vijana kujiajiri na kuajiri. *Asema Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana kuzinduliwa. Na. Mwandishi wetu – Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema serikali imedhamiria kuendelea kutekeleza programu za uwezeshaji vijana wenye vipaji vya na wajasiriamali ili kuweza…

Read More

Mwili wa mtoto wakutwa kwenye pagala baada ya kuuawa kikatili

Dar es Salaam. Ukatili kwa watoto umetamalaki! Ndiyo neno unaloweza kusema baada ya mwili wa mtoto Nashfat Abimu (6), kukutwa kwenye pagala lililopo Mtaa wa Jeshi la Wokovu na Kizuiani, Mbagala akidaiwa kuuawa kikatili. Tukio hili limeacha simanzi kwa familia na jamii nzima, huku wengi wakitaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya wote watakaobainika kuhusika na…

Read More