Mwelekeo mpya uchaguzi wa Serikali za mitaa
Dodoma. Katika hatua inayoashiria mwelekeo mpya wa demokrasia nchini, Serikali imetangaza kanuni mpya za uchaguzi wa Serikali za mitaa, ambazo zinatoa mwanya wa mabadiliko makubwa katika mchakato wa uchaguzi. Moja ya mabadiliko makubwa ni kuondolewa kwa utaratibu wa wagombea kupita bila kupingwa, jambo lililokuwa likilalamikiwa kwa muda mrefu na vyama vya upinzani. Leo Alhamisi Agosti…