Kikapu Mwanza mwendo wa dozi tu
TIMU za Crossover (CIC) na Young Profile zimeanza kwa ushindi katika michezo yao ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza, huku wachezaji Hamis Hamis na Bryan Edward waking’ara na kuibuka nyota wa michezo hiyo kwa kufunga pointi nyingi na kuzibeba timu zao. Ligi hiyo iliyoanza Agosti 4, mwaka huu, iliendelea mwisho wa wiki iliyopita kwenye…