Mwanafunzi ‘Umbwe Boys’ asimulia dakika za mwisho mwenzao aliyefia mazoezini
Moshi. Zikiwa zimepita siku tatu tangu kutokea kifo cha mwanafunzi wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Umbwe, iliyopo Wilaya ya Moshi, Thomas Kogal (19), mwanafunzi mwenzake, Mohamed Rajab amesimulia alivyozungumza naye dakika za mwisho kabla ya mauti kumfika. Thomas aliyekuwa anasoma mchepuo wa sanaa (HKL), alifariki dunia Jumatatu Agosti 12,…