CCM yaendesha harambee kumchangia Lissu, Sh5.3 milioni zapatikana, mwenyewe akubali kuzipokea
Mwanza. CCM yachangishana Sh5.3 milioni za Lissu, mwenyewe azikubali Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ameendesha harambee ya kumchangia Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu ili aweze kutengeneza gari lake analolitumia kwenye shughuli zake. Harambee hiyo imefanyika leo Alhamisi, Agosti 14, 2024, Uwanja wa Furahisha, jijini Mwanza kwenye…