ASALI YA TANZANIA SASA KURUHUSIWA KUUZWA CHINA, WIZARA YATOA NENO
Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesaini makubaliano ya kuruhusiwa kuuza asali yake nchini China huku ikisisitiza pia uwepo wa mikakati yenye lengo la kuongeza uzalishaji wa mazao yanayotokana na nyuki. Akizungumza leo Agosti 15,2024 jijini Dar es Salaam katika hafla ya Tanzania na China wakisaini mkataba wa asali…