Benki ya Exim yaadhimisha Miaka 27 ya kuwahudumia watanzania
BENKI ya Exim Tanzania imeadhimisha miaka 27 tangu kuanzishwa kwake katika safari iliyojaa mafanikio, ubunifu, na huduma bora kwa wateja wake. Ikiwa na kaulimbiu ‘Miaka 27 ya Kukupa Kipaumbele’, inaangazia mafanikio yake na mikakati madhubuti ambayo imejiwekea ili kuendeleza mafanikio hayo miaka mingi ijayo. Akizungumza katika hafla hiyo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya…