BARABARA YA SENGEREMA -NYEHUNGE KM 54.5 KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI
Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema taratibu za kumpata mkandarasi mwingine ziko katika hatua za mwisho ili kuijenga kwa kiwango cha lami barabara ya Sengerema-Nyehunge KM 54.5 mkoani Mwanza. Akizungumza katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM mkoani Mwanza wilayani Sengerema Naibu Waziri Kasekenya amesema zaidi ya shilingi bilioni 73 zinatarajiwa kutumika kwenye…