Rc Malima ataka watendaji kata maafisa tarafa kuwajibika

Mkuu wa mkoa Morogoro Adam Malima amewataka watendaji wa Kata kuacha kufanya upendeleo wakati wa kushugulikia Changamoto za ardhi katika maeneo yao Rc Malima ameyasema hayo wakati akifungua semia Kwa watendaji wa kata na maafisa tarafa zote wa mkoa huo ambapo amesema wapi baadhi Yao wanatumia vibaya Kwa kufanya upendeleo Kwa wafugaji wakati wa utoaji…

Read More

Mtu mzito zaidi duniani apoteza kilo 542

Mwanaume mzito zaidi duniani Khalid bin Mohsen Shaari atangazwa kupitia mabadiliko ya kihistoria kwa kupoteza kilo 542 akisaidiwa na mfalme wa zamani wa Saudi Arabia Abdullah. Shaari aliwahi kuwa na uzito wa kilo 610 lakini baada ya kupitia mabadiliko hayo ya maisha sasa ana uzito wa kilo 63 tu. Shaari alikuwa amelazwa kwa zaidi ya…

Read More

Mgunda aahidi taji la CECAFA Simba Queens

Wakati msafara wa wachezaji 25 wa Simba Queens wakiondoka jana kuelekea Ethiopia ambako timu hiyo itashiriki mashindano ya klabu bingwa wanawake ya baraza la vyama vya mpira wa miguu Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), kocha wa timu hiyo, Juma Mgunda ametamba kutwaa ubingwa. Mashindano hayo ya kila mwaka, bingwa wake ndio hupata nafasi ya kushiriki…

Read More

India inaadhimisha miaka 78 ya Uhuru

India inaadhimisha miaka 78 ya Uhuru siku ya Alhamisi, Agosti 15. Waziri Mkuu Narendra Modi ataanza sherehe hizo kwa kupeperusha bendera ya taifa kwenye Ngome Nyekundu mjini Delhi, ikifuatiwa na hotuba kwa taifa. Hii itakuwa hotuba ya 11 mfululizo ya Narendra Modi ya Siku ya Uhuru kama waziri mkuu. Gwaride kubwa pia litafanyika kuonyesha uwezo…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Mpole karibu tena nyumbani

HATIMAYE George Mpole amerejea nyumbani baada ya kucheza kwa misimu miwili ugenini huko DR Congo. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Geita Gold, amejiunga na Pamba ya Mwanza ambayo imenasa saini yake akitokea FC Lupopo  ambayo alijiunga nayo mara baada ya kumalizika kwa msimu wa 2021/2022. Suala la George Mpole kushindwa kudumu na kung’aa katika Ligi…

Read More

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA NDC NA SIDO KWA UTENDAJI

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imelipongeza Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwa usimamizi mzuri wa Miradi ya kimkakati ya Kitaifa na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kwa kuwawezesha wajasiliamali wadogo wadogo kukuza biashara. Kamati hiyo imeyataka Mashirika hayo kutekeleza shughuli zake kwa ufanisj na kuongeza kuongeza uwigo…

Read More

Bodi ya Ngumi Uingereza kuwanoa Watanzania wawili

Bondia wa zamani wa ngumi za kulipwa, Amos Mwamakula na aliyekuwa kocha wa mabondia wa kike nchini Comoro, Halina Abdallah Ally wamepewa fursa ya kujifunza namna ya kuwahudumia mabondia wanaopata majeraha ‘cutting’ wakiwa ulingoni. Bondia na kocha huyo watajifunza nchini Uingereza kwa siku sita kuanzia Septemba 11-16 kozi ya cut man na corner man ambayo…

Read More