WATAALAM WA MABWAWA KUNOLEWA ZAIDI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri, amesema Wizara ya Maji imeandaa mafunzo ya siku mbili katika kuhakikisha usalama wa mabwawa ya maji na tope sumu unaimarishwa. Amesema mafunzo hayo yameandaliwa kwa kushirikiana na Tanzania Chamber of Mines na yatafanyika mkoani Mwanza . Amesema hayo katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Maji uliopo…