August 2024
Mashudu ya Alizeti yapata soko China, wakulima watakiwa kuchangamkia fursa
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Wakulima wa zao la alizeti pamoja na mazao mengine yakiwemo tumbaku, pilipili na parachichi wamehakikishiwa uwepo wa masoko ya mazao nchini China huku Serikali ikiendelea na juhudi za kufufua masoko katika nchi nyingine Duniani. Akizungumza leo Agosti 14,2024 mara baada ya kutia saini Hati ya Makubaliano ya Mauziano ya Mashudu…
Samia afagia ofisi ya AG, Hamza amrithi Feleshi
RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali ikiwemo wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali na Jaji wa Mahakama ya Rufani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatano na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dk. Moses…
AL NASSR YATINGA FAINALI YA SUPER CUP – MWANAHARAKATI MZALENDO
Klabu ya Al Nassr imefanikiwa kutinga Fainali ya Saudi Super Cup 2024 baada ya kuifunga Al Taawoun mabao 2-0 katika mchezo wa Nusu Fainali uliopigwa uwanja wa Prince Sultan bin Abdulaziz. Mabao ya Al Nassr yamefungwa na kiungo raia wa Saudi Arabia, Ayman Yahya dakia ya 8′ na mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo dakika…
Mabosi TAKUKURU, NIDA, Ikulu waguswa panga pangua ya Samia
RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali ikiwemo uteuzi wa katibu tawala wa mkoa na naibu makatibu wakuu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatano na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dk. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa na kuhamishwa vituo vya kazi ni pamoja…
Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy, Kairuki wang’olewa
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali, wakiwemo William Lukuvi na Profesa Palamagamba Kabudi ambao wamrejeshwa kwenye Baraza la Mawaziri. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Moses Kusiluka, pamoja na wawili hao viongozi walioteuliwa na kuhamishwa vituo vya kazi ni kama ifuatavyo: Taarifa hiyo…
Samia apangua tena mawaziri, Kabudi, Lukuvi ndani, Ummy, Kairuki nje
RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali ikiwemo mawaziri wanne. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatano na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dk. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa na kuhamishwa vituo vya kazi ni pamoja na Prof. Palamagamba Kabudi ameteuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria…
Mawakala wa forodha walia na mfumo hodhi wa manunuzi serikalini
Dar es Salaam. Chama cha Wakala wa Forodha Tanzania (Taffa) kimeeleza kuwa uamuzi wa Serikali kutumia Wakala wa Huduma na Ununuzi Serikalini (GPSA) katika manunuzi yote unawakosesha kazi na kuathiri shughuli zao za kila siku. Kutokana na hilo, kimemuomba Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa awasaidie mawakala kwa kurejesha uhai wa shughuli zao kupitia ushindani. Hayo…