Urusi na Ukraine zaendelea kupambana vikali huko Kursk – DW – 14.08.2024
Baada ya Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kusema kuwa vikosi vyake vinaendelea kusonga mbele katika mkoa huo wa Kursk , wizara ya ulinzi ya Urusi imesema katika taarifa yake kwamba imezuia majaribio ya kusonga mbele ya vikosi vya Ukraine katika maeneo matano ndani ya ardhi ya Urusi. Awali, Ukraine ilisema inadhibiti maeneo 74 ya makaazi katika mkoa…