Kigwangala aibuka na mpya | Mwananchi
Dar es Salaam. Mbunge wa Nzega Vijijini (CCM), Dk Hamis Kigwangalla amesema licha ya Serikali ya Tanzania kuwa na sera na mipango mizuri, kuna tatizo la utekelezaji, hali inayorejesha nyuma utoaji wa huduma za jamii nchini. Ameyasema hayo leo Jumatano, Agosti 14, 2024 alipokuwa akihutubia katika uzinduzi wa mkakati wa Shirika la Water Aid kwa…