Guede aanza mikwara mapema, afunguka kuelekea msimu mpya

MSHAMBULIAJI mpya wa Singida Black Stars, Joseph Guede aliyekuwa akikipiga Yanga msimu uliopita amechimba mkwara mpema akisema anatarajia msimu bora kutokana na wachezaji waliopo. Guede aliyeitumikia Yanga kwa miezi sita baada ya kusajiliwa dirisha dogo kuchukua nafasi ya Hafiz Konkoni ameliambia Mwanaspoti kuwa ameshamalizana na mabingwa wa soka nchini vizuri na ndio waliohusika kwa kiasi…

Read More

Mbowe: Viongozi wote Chadema hawataripoti polisi

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema viongozi wote wa chama hicho hawatokwenda kuripoti polisi kama ambavyo wameelekezwa baada ya kujidhamini wenyewe na wengine kudhaminiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mbowe ametoa msimamo huo leo Jumatano wakati akizungunza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu…

Read More

Hilmy kuiwakilisha Tanzania Paralimpiki 2024

Na Winfrida Mtoi Mtanzania Hilmy Shawwal ni mchezaji pekee anayetarajiwa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya michezo ya Olimpiki kwa watu wenye ulemavu(Paralimpiki Paris 2024), itayoanza  Agosti 28 hadi Septemba 8, 2024 nchini Ufaransa. Hilmy ambaye anaishi  Uingereza, atashindana katika  mbio za Viti-Mwendo Daraja la T54. Mchezaji huyo amefanikiwa kupata nafasi hiyo ya pekee kupitia WildCard…

Read More

Diwani alalama Sh20 milioni kutojenga zahanati ya kijiji kisa mfumo

Manyara. Diwani wa Naisinyai wilayani Simanjiro, mkoani Manyara, Taiko Laizer ametoa malalamiko mbele ya Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka, kuhusu kucheleweshwa kutumika kwa Sh20 milioni za mwekezaji. Imeelezwa kuwa mwekezaji kutoka Kampuni ya Franone Mining LTD, Onesmo Mbise aliweka kwenye akaunti ya Kijiji cha Naepo wilayani Simanjiro mkoani hapa Sh20 milioni za ujenzi wa…

Read More

LIGI KUU SPESHO: Rekodi hizi zinasubiriwa kuvunjwa msimu wa 2024\25

REKODI zinawekwa ili zivunjwe, lakini sio kila rekodi zimekuwa zikivunjwa kuna nyingine zimekuwa zikichukua muda mrefu na nyingine zinavunjwa haraka. Mashabiki wa soka wamepata kushuhudia rekodi mbalimbali kwenye Ligi Kuu Bara. Ligi ambayo imekuwa ikitajwa kuwa bora barani Afrika, ikishuhudiwa wachezaji na makocha mahiri kabisa wakipita na kuacha alama. Yanga ina rekodi yake ya kutwaa…

Read More

Nukuu za Freeman Mbowe mbele ya waandishi wa habari

Ni Agosti 14,2024 ambapo Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amezungumza na waandishi wa Habari na hizi ni baadhi ya nukuu  zake “Kawaida jeshi la Polisi linatumia nguvu pale mtu anapopinga,” Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe. “Kwenye Jeshi la Polisi kuna watu wema,”Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman…

Read More

Wahitimu mafunzo ya amali wataka fursa miradi ya maendeleo

Unguja. Vijana waliohitimu mafunzo ya amali wameiomba Serikali kuwapa kipaumbele wakati wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo, si tu kuonyesha uwezo wao bali kuwasaidia kupunguza changamoto ya ajira. Hayo yameelezwa Agosti 14, 2024 wakati wa mahafali ya 10 ya Chuo cha Mafunzo ya Amali Mwanakwerekwe. Jumla ya vijana 215 wametunukiwa vyeti katika fani tofauti za…

Read More

TANZANIA, CHINA KUIMARISHA BIASHARA YA MIFUGO NA UVUVI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amekutana na Waziri wa Forodha kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Yu Jianhua kujadiliana namna ya kuendelea kuboresha ushirikiano na kutanua fursa za kibiashara baina ya nchi hizo mbili hususan kwenye sekta za mifugo na uvuvi. Waziri Ulega amekutana na waziri Jianhua jijini Dar…

Read More