NEMC yataja ugumu kuzuia uzalishaji mifuko ya plastiki
Dar es Salaam. Uelewa hafifu kwa jamii juu ya athari za kimazingira na kiafya zitokanazo na matumizi ya vifungashio vya plastiki, ni moja ya sababu zinazotajwa kuchangia kuendelea kuzalishwa kwa siri kwa kuwa wanaangalia upande wa faida pekee. Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema changamoto hiyo ni moja ya kikwazo…