Wachambuzi: Siasa za machafuko hazikubaliki TZ

  SIKU chache baada ya viongozi wakuu wa Chadema kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kukaidi agizo la kupiga marufuku kongamano la maadhimisho ya vijana duniani, wachambuzi wa masuala ya siasa wameonya viongozi hao wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini kuheshimu sheria za nchi kwani siasa za machafuko hazina masilahi kwa Taifa….

Read More

Unywaji maziwa bado kiduchu Tanzania, wafugaji walia

Dar es Salaam. Tanzania inakabiliwa na uhaba wa maziwa lita zaidi ya bilioni 10 ili kufikia mahitaji halisi yatakayomwezesha kila mtu kunywa lita 200 kwa mwaka, kama inavyotakiwa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Ripoti ya Takwimu za Msingi Tanzania ya Mwaka 2023 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), inaonyesha Tanzania ilizalisha lita…

Read More

TMX TUMEANZA MAANDALIZI MSIMU WA KOROSHO 2024/2025

Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Bidhaa Tanzania – TMX Godfrey Marekano ameeleza kuwa maandalizi ya uuzaji na uunuzi wa Korosho msimu 2024/25 yameanza na yanaendelea vizuri. Marekano amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam Agosti 13,2024 Jijini Dar es Salaam, huku akiwataka wakulima wa Korosho kuhakikisha kuwa…

Read More

NBC yaja na kampeni kuhamasisha kilimo cha kahawa Mbinga

  BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetambulisha rasmi kampeni yake ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma ikilenga kuchochea kasi ya uzalishaji wa zao la kahawa wilayani humo kupitia huduma zake mahususi na zenye upendeleo kwa wakulima wa zao hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Ruvuma … (endelea). Ikitambulishwa kwa…

Read More

RITA yasajili na kutoa vyeti kwa watoto milioni 10

  WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) umesajili zaidi ya watoto milioni 10 kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara, idadi ambayo ni sawa na asilimia 68 ya watoto waliopewa vyeti vya kuzaliwa ikilinganishwa na asilimia 13 wakati wanaanzisha mpango huo mwaka 2012. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku…

Read More