Mapacha wauawa katika shambulizi la anga la Israel huko Gaza wakati baba akisajili taarifa zao

Mapacha wachanga waliripotiwa kuuawa katika mlipuko wa Israeli huko Gaza wakati baba yao alikuwa katika ofisi ya serikali ya mitaa kuandikisha kuzaliwa kwao. Asser, mvulana, na Ayssel, msichana, walikuwa na umri wa siku nne tu wakati baba yao Mohammed Abu al-Qumsan alipokwenda kuchukua vyeti vyao vya kuzaliwa. Akiwa mbali, majirani zake walipiga simu kusema nyumba…

Read More

TFF: Wamrudisha Awesu KMC – Mwanahalisi Online

  KAMATI ya Sheria na hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imemaliza utata kwenye Sakata la usajili la mchezaji Awesu Ali Awesu na kueleza kuwa mchezaji huyo ni mali halali ya klabu ya KMC. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Uamuzi wa kamati hiyo umekuja kufuatia klabu ya…

Read More

Soko la bidhaa za Halal lazidi kupanuka duniani

· Watanzania washauriwa kutumia bidhaa za Halal Na Mwandishi Wetu UKUBWA wa soko la bidhaa za Halal duniani umeendelea kuongezeka kutoka Dola trilioni 1.2 miaka 10 iliyopita hadi kufikia dola trilioni 2.29 mwaka jana. Hayo yamesemwa leo na mtoa mada Salum Awadh wakati akizungumza kwenye kongamano la pili kuhusu mwenendo, fursa na maendeleo ya soko…

Read More

Viwanja vya Ligi Kuu Bara 2024-2025

KWA mujibu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), msimu huu wa 2024-2025, Ligi Kuu Bara itachezwa kwenye viwanja 13 vilivyopo mikoa 10 tofauti. Katika orodha ya viwanja hivyo ambavyo vimetajwa kwenye ratiba ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2024-2025, Mkoa wa Dar es Salaam ndiyo wenye utajiri wa viwanja kutokana na kuwepo vinne kati…

Read More

Mwanafunzi Umbwe ‘boys’ afariki dunia akifanya mazoezi

Moshi. Mwanafunzi wa kidato cha tano, katika Shule ya Wavulana ya Umbwe, iliyopo Kata ya Umbwe Onana, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Thomas Edward Kogal (19) amefariki dunia wakati akifanya mazoezi shuleni hapo. Mwanafunzi huyo ambaye ni mwenyeji wa Mkoa wa Kigoma, anadaiwa kufariki dunia juzi jioni, Agosti 12, 2024. Mkuu wa shule hiyo, Elirehema…

Read More

Camara: Tumaini jipya la Simba langoni

SIMBA imepata kipa la maana Mussa Camara, aliyewafanya mabosi wa klabu hiyo kupata jeuri hata kudiriki kumpuuza kipa wao aliyewaheshimisha miaka ya karibuni Aishi Manula. Camara amekuwa mchezaji wa 14 kusajiliwa Simba kati ya 15 kama atangazwa mshambuliaji mpya, ambapo mechi tatu tu zikatosha kuthibitisha kwamba wekundu hao wamepata kipa wa boli. Kipa huyu amecheza…

Read More