SERIKALI YASHAURIWA KUANZISHA KLINIKI YA FEDHA

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Bw. George Mbesigwe, akizungumza wakati wa semina ya elimu ya fedha iliyotolewa na Wizara ya Fedha ambapo mada mbalimbali zilifundishwa ikiwemo kujiwekea akiba, mikopo, uwekezaji katika ukumbi wa Halmashauri hiyo mkoani humo. Mchumi kutoka Wizara ya Fedha, Bi. Glory Uisso, akizungumza na baadhi ya wakazi…

Read More

Waziri Mkuu Amzungumza na Makamu wa Rais wa Cuba

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Agosti 13, 2024 amezungùmza na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa. Mazungumzo hayo ambayo pia yamehudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole yamefanyika Revolutionary Square, Havana. *Aahidi kuendeleza ushirikiano baina ya nchi hizo. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali za Tanzania na Cuba zitaendelea kushirikiana katika…

Read More

Kushughulikia Migogoro ya Kifedha Kusini – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni by Jomo Kwame Sundaram (kuala lumpur, Malaysia) Jumatano, Agosti 14, 2024 Inter Press Service KUALA LUMPUR, Malaysia, Agosti 14 (IPS) – Wakati historia inajirudia, mara ya kwanza ni janga; kinachofuata ni kichekesho. Iwapo tutashindwa kujifunza kutokana na matatizo ya kifedha ya hapo awali, tunahatarisha kufanya makosa yanayoweza kuepukika, mara nyingi ambayo hayawezi kutenduliwa, hata…

Read More

BILIONI 43 ZATEKELEZA MIRADI WILAYA YA HAI

Na Mwandishi wetu – Kilimanjaro Imeelezwa kuwa zaidi ya shilingi bilioni 43 zimetolewa na Rais Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro. Hayo yameelezwa na Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Wenye Ulemavu na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu…

Read More

TFF yamrudisha Awesu KMC, Simba yakwepa rungu

Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeamua kuwa kiungo Awesu Awesu kuwa ni mchezaji halali wa KMC hivyo anapaswa kurejea klabuni kwake. Kiungo huyo alitangazwa kutambulishwa na Simba na alikuwa miongoni mwa wachezaji waliokuwepo katika kambi yao ya maandalizi ya msimu ambayo iliwekwa Misri mwezi uliopita….

Read More

WAZIRI MKUU ATETA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA – HAVANA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes  Mesa kabla ya mazungumzo yaliyofanyika Revolutionary Square, Havana nchini Cuba, Julai 13, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes  Mesa, Revolutionary Square, Havana nchini Cuba, Julai 13,…

Read More