WAZIRI MKUU AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA
-Aahidi kuendeleza ushirikiano baina ya nchi hizo WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali za Tanzania na Cuba zitaendelea kushirikiana katika sekta za Elimu, Afya, Kilimo, Utalii na Masuala ya Teknolojia. Ameeleza hayo baada ya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa yaliyofanyika Revolutionary Square, Havana nchini Agosti 13, 2024. Mheshimiwa Majaliwa…