Balaa Yanga! Siri za Gamondi zabainika, kazi ipo Ligi Kuu

MIONGONI mwa mambo ambayo yamekuwa yakiibeba Yanga ya Miguel Gamondi kimbinu ni pamoja na viungo wake akiwemo Pacome Zouzoua na Maxi Nzengeli kuwa na uwezo wa kucheza baina ya mabeki wa kati na pembeni ‘half-spaces’ kitu ambacho kimekuwa kikiwaweka wapinzani wao katika wakati mgumu. Katika michezo sita iliyopita kwa Yanga ikiwemo mitatu iliyocheza Afrika Kusini…

Read More

Old School wawekeana mkataba  | Mwanaspoti

Kiongozi wa timu ya kikapu ya Veterani ya Old School kutoka Nairobi, Baikwinga Kobia amesema ujio wa timu yake katika bonanza lililofanyika nchini, umetokana na uhusino mkubwa walionao na Old Gurd. Bonaza hilo la kikapu lilifanyika katika uwanja wa timu ya Old Gurd, ikishirikisha timu za Bahari, Old Gurd, Orji  na Old School. Kobia alilimbia…

Read More

Straika mpya Simba ashtua, Freddy Koublan atajwa!

TAARIFA za Simba kusajili straika mpya kipindi hiki muda mchache kabla ya dirisha kufungwa kesho Alhamisi, zimeshtua wengi, lakini mshtuko zaidi umekuja kwa mchezaji mwenyewe ambaye anatajwa kumalizana na timu hiyo. Leonel Ateba raia wa Cameroon kutoka USM Alger, ndiye anayetajwa kumalizana na Simba akipewa mkataba wa miaka miwili. Straika huyo ana kibarua kigumu cha…

Read More

Iran yakataa miito ya kujizuwia kulipiza mauaji ya Haniyeh – DW – 14.08.2024

Iran imekataa wito wa mataifa matatu ya Ulaya walioihimiza kujizuwia kufanya mashambulizi yoyote ya kisasi ambayo yatachochea zaidi mzozo wa kikanda, ikiutaja wito huo uliotolewa na viongozi wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kama ombi lililopindukia. Katika tamko lao la pamoja siku ya Jumatatu, viongozi hao waliitaka Iran na washirika wake kuacha kulipa kisasi cha mauaji…

Read More

Watoto Sengerema wapata mafunzo | Mwanaspoti

MAKOCHA wa mpira wa kikapu nchini wanaendelea kuendesha program za mafunzo ya mchezo huo kwa watoto, huku kwa upande wa Mwanza, Kocha wa mkoa huo, Benson Nyasembwa amesema Beka sports consultant ya mkoani humo, iliendesha mafunzo hayo Wilaya ya Sengerema. Nyasebwa aliiambia Mwanasposti mafunzo hayo yaliwahusisha watoto wa kuanzia umri wa miaka 6 hadi 15,…

Read More

KMC yatangaza kumrejesha Awesu akitokea Simba

Klabu ya KMC imetangaza kumrejesha kikosini kiungo Awesu Awesu aliyekuwa akiichezea timu hiyo msimu uliopita kabla ya kuelezwa amesajiliwa na Simba na kutangazwa Julai 17, 2024. Licha ya kutangazwa Simba kama mchezaji mpya atakayekitumikia kikosi hicho cha wekundu kwa msimu wa 2024\25, usajili huo ulikuwa na dosari, kwani KMC ilidai bado ana mkataba na wanakino…

Read More

UN yaelezea wasiwasi kuhusu mazingira ya hofu Venezuela – DW – 14.08.2024

Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi kuhusu “mazingira ya hofu” baada ya uchaguzi nchini Venezuela, mnamo wakati wabunge nchini humo wanazingatia kupitisha sheria kadhaa ambazo wakosoaji wanasema zinawalenga wapinzani wa Rais Nicholas Maduro. Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Turk, amesema katika taarifa jana kuwa anatatizwa na idadi kubwa na inayoongezeka ya…

Read More

Polisi UK yakamata zaidi ya watu 1,000 kuhusiana na vurugu – DW – 14.08.2024

Watu wasiopungua 575 wameshatakiwa, huku mahakama zikiendelea kuwashughulikia walioshiriki fujo hizo zilizoikumba miji kadhaa ya England na Ireland Kaskazini, kufuatia vifo vya wasichana watatu waliochomwa kisu Julai 29. “Vikosi kote nchini hivi sasa vimekamata watu zaidi ya 1,000 kuhusiana na vurugu za hivi karibuni na fujo,” Baraza la wakuu wa polisi ya taifa, NPCC, lilisema…

Read More