Badru Amshukuru Dkt. Samia Mazingira Bora ya Biashara Nchini

* Wawekezaji Faida Fund juu takriban 60%! * Faida, Thamani, Ukubwa wa Mfuko Vyapaa! * Faida Kuongezeka, Mifumo Kuboreshwa! (Aishukuru Serikali, Wadau kwa Mafanikio. Na Derek Murusuri, Royal Publishers, Dar es Salaam 13 Agosti, 2024 MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wawekezaji wa Mfuko wa Faida (Faida Fund), Bw. Abdul-Razak Badru, amemshukuru Rais Dkt. Samia…

Read More

Kuwawezesha Wafanyabiashara wa Soko Wasio Rasmi barani Afrika Kusambaza Chakula Salama – Masuala ya Ulimwenguni

Mvuvi Godknows Skota anashikilia samaki waliochujwa na kusafishwa. Credit: Busani Bafana/IPS by Busani Bafana (bulawayo, zimbabwe) Jumanne, Agosti 13, 2024 Inter Press Service BULAWAYO, Zimbabwe, Agosti 13 (IPS) – Masoko ya chakula yasiyokuwa ŕasmi ya ndani yanalisha mamilioni ya wakazi wa mijini katika miji yenye shughuli nyingi baŕani Afŕika, lakini matokeo ya chakula kilichochafuliwa yanaweza…

Read More

CIC, Young Proffile zashinda  | Mwanaspoti

CIC iliishinda CUHAS kwa pointi 78-51, katika ligi ya kikapu Mkoa wa Mwanza iliyofanyika katika uwanja wa Mirongo. Katika mchezo huo mchezaji Bryan wa CIC aliongoza kwa kufunga pointi 24 na upande wa CUHAS, Isancho alifunga pointi 17. Mchezo mwingine uliochezwa uwanjani hapo, Young Proffile  iliishindaPlanet kwa pointi 69-51, huku Hamis wa Young Proffile akiongoza…

Read More

Latra kuanzisha utaratibu mpya wa usafiri Dar

Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra), inatarajia kuanzisha huduma ya ‘Ride Sharing’ kabla ya kuisha mwaka huu wa fedha 2024/25. Watu tisa hadi 14 wataweza kupanda gari moja kwa kuomba kupitia mitandao ya simu hata kama wapo vituo tofauti. Akizungumza na Mwananchi, leo Jumanne, Agosti 13, 2024 Mkurugenzi wa Udhibiti Usafiri wa…

Read More

Wasafiri Stesheni ya Mpanda walia kupigwa jua, mvua

Katavi. Wasafiri wanaotumia treni wamesema wanakumbana na changamoto ya kukosekana eneo la kupumzikia katika Stesheni ya Mpanda mkoani Katavi, hali inayosababisha wanyeshewe na mvua na kuchomwa na jua. Wamesema wamekuwa wakikaa juani na kunyeshewa na mvua kutokana na kukosekana kwa eneo la abiria kupumzika. Mwananchi imefika stesheni hapo leo Jumanne Agosti 13, 2024 kuzungumza na…

Read More

Chadema yadai viongozi wao kupigwa, Polisi yajibu

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia (Chadema) kimedai baadhi ya viongozi wake wakuu walishushiwa kipigo wakati wakikamatwa na Jeshi la Polisi jijini Mbeya kwa nyakati tofauti. Hata hivyo, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Awadhi Juma Haji akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Agosti 13 2024 juu ya tuhuma hizo amekana kuzithibitisha huku…

Read More

Mkopo usio na riba kunufaisha wanawake, vijana

Unguja. Ili kuwawezesha wananchi kiuchumi, Serikali imetenga Sh39.5 bilioni zitakazotolewa kwa mkopo usiokuwa na riba, hususani kwa wanawake na vijana Zanzibar. Hayo yameelezwa leo Jumanne Agosti 13, 2024 wakati wa kufungua mafunzo ya kutengeneza umeme jua katika kituo cha kuwafunza wanawake kutengeneza vifaa vya umeme wa jua na ujasiriamali (Barefoot College) Kinyasini Mkoa wa Kaskazini,…

Read More

Mcameroon aivuruga Chui BDL | Mwanaspoti

POINTI mbili zilizofungwa Mcameroon, Charly Kasseng wa Srelio katika sekunde nne za mwisho za robo ya nne, ziliipa ushindi timu hiyo wa pointi 48-47 dhidi ya Chui, katika ligi ya kikapu (BDL), kwenye Uwanja wa Donbosco, Upanga. Kabla ya sekunde hizo, Chui ilikuwa inaongoza kwa pointi 47 dhidi ya 46 za Srelio na pointi hizo…

Read More

Udhuru wa hakimu wakwamisha kesi ya RC wa zamani Simiyu

Mwanza. Kesi ya kulawiti inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC), Dk Yahya Nawanda imeshindwa kuendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza baada ya hakimu anayeisikiliza kupata udhuru. Kesi hiyo namba 1883/2024, inayosikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Erick Marley imeahirishwa leo Jumanne Agosti 13, 2024 na Hakimu Mkazi Mfawidhi Mahakama…

Read More