WAZIRI KOMBO ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA KUTEKELEZA MIKAKATI YA KIKANDA – SADC – MWANAHARAKATI MZALENDO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameahidi kushirikiana na Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika kukuza uchumi wa kanda. Hayo yamejiri wakati akichangia mada katika Mkutano wa Mawaziri wa SADC unaofanyika nchini Zimbabwe kuanzia tarehe 13 hadi 16 Agosti,…

Read More

Wanaume waongoza uchangiaji figo kwa asilimia 70

Dar es Salaam. Takwimu za uchangiaji figo nchini zinaonyesha kuwa wanaume wanaongoza kwa asilimia 70 ya uchangiaji ogani hiyo, huku wachangiaji wakiwa na umri kuanzia miaka 21.  Hayo yamebainishwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wakati hospitali hiyo ikiwa imeshafanya upandikizaji figo kwa wagonjwa 102, tangu ilipoanza kutoa huduma hiyo nchini mwaka 2017. Akizungumza Agosti…

Read More

Shambulizi la Israel laua watu 10 wa familia moja Gaza – DW – 13.08.2024

Duru za kitabibu zimeeleza kuwa wanafamilia hao wa familia ya Abu Haya wameuawa katika shambulizi la Israel lililotokea Jumanne huko Abassan, mashariki mwa Khan Yunis. Afisa wa afya kutoka katika hospitali ya Nasser amesema mtoto mmoja mchanga wa kike mwenye miezi mitatu, ndiyo pekee aliyesalimika katika shambulizi hilo. Waliouawa ni wazazi wawili na watoto wanane. Wafanyakazi…

Read More

NHIF yarejesha huduma hospitali za Aga Khan

Dar es Salaam. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeeleza kurejeshwa kwa huduma kwa wanachama wake katika Hospitali za Aga Khan Tanzania, mpaka pale itakapotangazwa vinginevyo. Taarifa iliyotolewa leo Jumanne, Agosti 13, 2024 na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Grace Temba imeeleza hatua hiyo inatokana na Serikali kupitia Wizara ya Afya kuendelea na…

Read More

Nani yuko nyuma ya JKU, Uhamiaji?

SAKATA la wawakilishi wa Zanzibar kwenye michuano ya kimataifa kuamua kuchezea mechi zao zote ugenini limeibua sintofahamu kwa wadau. Huku wakihoji ; “Nini kiko nyuma ya timu hizo?” JKU itacheza dhidi ya Pyramids ya Misri mechi zote mbili ugenini sawa na Uhamiaji ambayo pia mechi zake za Shirikisho dhidi ya Al Ahly Tripoli ya Libya…

Read More

Kukamatwa vigogo Chadema kwaibua hofu uchaguzi ujao

Dar es Salaam. Wadau wa siasa na wanaharakati nchini wamesema hatua ya Jeshi la Polisi kuwakamata wanachama na viongozi wakuu wa Chadema na kuzuia kongamano lao vijana wametoa maoni tofauti, baadhi yakieleza hofu kuhusu uwanja sawa kwenye chaguzi zijazo. Vilevile, baadhi ya wadau wame wamekumbushia falsafa ya R4 za Rais Samia Suluhu Hassan – maridhiano,…

Read More

Kilichowaponza CHADEMA ni kauli na hamasa ya vurugu

Na Mwandishi Wetu MWAKA 1994 hauwezi kufutika katika historia ya dunia baada ya watu zaidi ya 800,000 kupoteza maisha kwa mauaji ya wenyewe kwa wenyewe nchini Rwanda. Wengine zaidi ya 2,000,000 walikimbia nchi na kwenda maeneo mbalimbali duniani kuomba hifadhi. Sababu ya yote hayo ni kauli. Wahutu na Watusti walianza kutoleana kauli za vitisho na…

Read More

DANKI ya Mabruary yawakuna mashabiki

PAMOJA na ushindi ilioupata Dar City wa pointi 94-60 za Mchenga Stars, lakini kivutio kilikuwa ni Jamel Marbuary aliyekosha mashabiki kutokana na danki zake kwenye mchezo wa Ligi ya Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) kwenye Uwanja wa Donbosco Upanga. Mabruary alifunga pointi mbili kwa mtindo wa kudanki kwa kuruka na mpira umbali wa mita…

Read More