Dk Mwigulu afunguka uhaba wa Dola Tanzania

Dodoma. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amewataka watu kununua bidhaa zinazozalishwa nchini,  ili kujenga uchumi na sio kulalamika katika mitandao ya kijamii. Dk Mwigulu ameyasema hayo leo Jumamosi Agosti 31, 2024 wakati akifungua mkutano kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sheria ya Ubia kati sekta Binafsi na mafunzo ya takwimu zinazozalishwa na ofisi ya…

Read More

Mitaji inavyoua kampuni changa Tanzania

Dar es Salaam. Wadau wa biashara wameeleza kuwa kampuni changa nchini zinakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa mtaji, jambo ambalo linaathiri uendelevu wake. Wanasema ili kupata mitaji wanategemea kukopa lakini mfumo wa benki nchini bado unahitaji dhamana kubwa kabla ya kutoa mikopo, hali inayowafanya kushindwa kupata fedha zinazohitajika kuendesha biashara zao. Akizungumza juzi katika mkutano…

Read More

2025 mwaka wa  uchaguzi wa wanawake kuonyesha uwezo

Mbeya. Wakati Tanzania ikitarajia kufanya uchaguzi mkuu mwakani,  Mbunge Viti Maalum, Sophia Mwanagenda amewataka wanaume kujifungia ndani ili waonyeshwe uwezo wa  kuongoza kutoka kwa wanawake. Mwakagenda  ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Agosti 31,2024 mara baada  ya kushiriki mashindano ya mapishi maarufu kama “Tulia Cooking Festival 2024” yaliyohusisha baba na mama lishe  1,000 yaliyofanyika  katika  viwanja…

Read More

Mvua yakosesha makazi kaya 55 Bunda

Bunda. Zaidi ya nyumba 55 za wakazi wa Kijiji cha Salama A wilayani Bunda, Mkoa wa Mara zimeezuliwa na kubomolewa na mvua iliyoambatana na upepo mkali hali iliyosababisha wakazi zaidi ya 150 kukosa makazi. Pia upepo huo umeezua na kubomoa madarasa sita na nyumba mbili za walimu katika Shule ya Msingi Salama A na B…

Read More

Rekodi ya Zenji yamtesa Maabad

MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Maabad Maulid amesema jambo kubwa linalomuumiza kichwa ni kushindwa kufikisha angalau mabao 10 kwa msimu katika Ligi Kuu Bara tofauti na ilivyokuwa akicheza Ligi Kuu Zanzibar. Nyota huyo aliifungia Coastal bao la kusawazisha kwa mkwaju wa penalti dhidi ya KMC katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Bara msimu huu ambao…

Read More

DKT NCHEMBA AZITAKA MAMLAKA ZA SERIKALI NA WAWEKEZAJI KUTOKA SEKTA BINAFSI KUTUMIA FURSA ZILIZOPO KATIKA SHERIA YA PPP

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka Mamlaka za serikali pamoja na wawekezeji kutoka sekta binafsi kutumia fursa zilizopo katika sheria ya PPP kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo ili kuipunguzia serikali mzigo wa kibajeti. Ametoa kauli hiyo leo Agosti 31 ,2024 jijini Dodoma katika Mkutano wa mafunzo ya…

Read More