
Wahudumu hoteli watakiwa kukabili usafirishaji haramu binadamu
Dar es Salaam. Wadau takribani 15 wa sekta ya hoteli nchini wametakiwa kukabiliana na usafirishaji haramu wa binadamu kwa kutambua viashiria na kutoa taarifa kwenye mamlaka za Serikali. Hayo yameelezwa Agosti 29, 2024 Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Mtandao wa Taifa Wakupambana na Usafirishaji haramu wa binadamu Tanzania, Edwin Mugambila katika ufunguzi wa mafunzo…