KIGOMA YATAJWA KWENYE ORODHA YA MIKOA INAYOLEGALEGA UTEKELEZAJI WA MIRADI
NA OR – TAMISEMI. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameitaja Kigoma kuwa miongoni mwa mikoa inayolegalega katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo, akiwataka watendaji kuongeza juhudu katika kutekeleza miradi mikubwa ya serikali na utoaji wa huduma kwa jamii. Waziri Mchengerwa ametoa agizo hilo Agosti…