Pesa ipo nje nje ndani ya Meridianbet leo

  NDUGU mteja karibu utusue na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet ambapo leo hii kuna mechi kibao za kufuzu ligi ya mabingwa ambazo unaweza kubashiri na kujishindia pesa weka dau lako sasa. Saa mbili usiku Fenerbahce kutoka kule Uturuki atakiwasha dhidi ya Lille ya kule Ufaransa ambapo nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu akipewa…

Read More

Burkina Faso yamulikwa kuhusu utekaji nyara wanaharakati – DW – 13.08.2024

Sera hiyo ya kamata kamata inaungwa mkono katika mitandao ya kijamii na wanaharakati wanaouunga mkono utawala wa kijeshi, ambao wamekuwa wazi kabisa kuwakosoa watu wanaowaita “wakosa utaifa” kwa kuwapinga “wazalendo” waliowatiifu kwa utawala huo unaoongozwa na Kapteni Ibrahim Traore. Tangu Traore alipochukua madaraka katika mapinduzi ya kijeshi ya mwezi Septemba mwaka 2002, ukandamizaji umeongezeka hasa…

Read More

MKOA WA GEITA KUFUNGULIWA KWA BARABARA ZA LAMI

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amhakikishia Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Serikali imepanga kufungua mkoa wa Geita kwa barabara za lami ili kurahisisha huduma za usafiri na uchukuzi hivyo kukuza uchumi wa Mkoa huo. Akizungumza na wananchi wa mji wa Katoro mkoani humo Eng. Kasekenya amesema nia…

Read More

Makambo aanza kutupia Ujerumani | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI kinda wa Tanzania anayekipiga FCA Darmstadt ya Ujerumani, Athuman Masumbuko Makambo ameanza kutupia baada ya kufunga bao moja waliposhinda 2-1 dhidi ya Viktoria Griesheim. Hiyo ilikuwa katika mchezo wa Gruppenliga ya Ukanda wa Hesse nchini humo iliyoanza hivi karibuni. Mechi hiyo ilipigwa Agosti 11, 2024 kwenye Uwanja wa RP1 Griesheim nchini Ujerumani ambapo Makambo…

Read More

AMSHA AMSHA ZA MSIMU MPYA NA BETWAY.

Dar es Salaam, Tanzania – 8 Agosti, 2024 Ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na msimu mweingine wa burudani katika ligi kubwa duniani, Kampuni ya ubashiri Betway iko pamoja na wateja kuwaba burudani na huduma bora za kubashiriki. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Meneja Masoko Betway Tanzania Calvin Mhina amesema walishiriki vyema…

Read More

Nini kinafuata kwa kizazi cha Gen-Z? – DW – 13.08.2024

Huku Kenya ikikabiliana na kupanda kwa gharama za maisha na sera za serikali zenye utata, Generation Z – neno linalotumiwa kwa ujumla kuelezea vijana waliozaliwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 – wameingia kwenye mkondo wa kidijitali, wakitumia nguvu ya mitandao ya kijamii kuchochea wimbi la maandamano na harakati za…

Read More