Israel yashutumiwa kuwanyanyasa Wapalestina walio gerezani – DW – 13.08.2024
Kiini cha madai hayo ni kituo cha kimoja cha kijeshi kusini mwa Israel ambacho kilianzishwa kushughulikia washukiwa wanaounga mkono wanamgambo baada ya shambulizi la Hamas na kundi washirika la Islamic Jihad dhidi ya Israel mnamo Oktoba 7, 2023, ambalo lilisababisha takribani watu 1,140 kuuawa na zaidi ya 240 kuchukuliwa mateka. Wiki mbili zilizopita, wafuasi wa…